Monday, 30 November 2009



Zamaradi wa clouds fm akiwa ndani ya kiatuzi. one thing I love about Zamaradi ni jinsi anavyojua kupangilia viatuzi vyake na nguo's zake. umetoka mchicha my dear.
Kiatuzi cha Kuvaa kazini, ni cha ngozo na bei yake ni 85,000/.
Hapo ni kiatuzi na mkoba wake , bei ya kiatu ni 85,000/- na mkoba ni 65,000/-. nyeupe na green kwa kweli inapendeza.

Viatuzi hivyo vinauzwa Tsh 45,000/-.

Unaweza kuwa na nguo moja , lakini jinsi unavyovaa na kubadili viambatanisho, unaweza kuonekana tofauti kabisa. Belt hiyo ni 15,000/- ,clutch (kipochi) 50,000 na viatuzi 85,000/-

Hapa kuna viambatanisho vya viatu, raha ya kiatu ipate kiambatanisho. hiyo belt ni Tsh 15,000, mkoba ni Tsh 95,000/- na Viatuzi ni Tsh. 60,000/-.

Party shoe, kinaenda vema na jeans , dress . Bei ya cha brown ni 85,000/- na hicho cha Blue 120,000/-